Habari ndugu zangu, tuko hapa kujuzana habari juu ya COMPUTER na matumizi yake. kuna ndugu yangu mmoja alinifahamisha juu ya LAPTOP yake anasema kila akijaribu ku start inawaka lakini haidisplay so mimi nimegundua tatizo na mimemweleza je wewe una lipi la kumwongezea juu hili