22 Okt 2013

JE NI KWELI ILI UWE MAARUFU NI LAZIMA UWE NA..............

Ni swali nililolisikia kwa vijana wenzangu hapa mtaani kwetu,, je ni kweli ili uwe maarufu ni 
lazima uwe na maskendo ya ajabuajabu. lakini ukiangalia asilimia kumbwa ya wasanii wetu maarufu hapa tanzania kiukweli wanatisha kwa maskendo kibao. lakini wapo wasanii maarufu 
na hawana maskendo ya kijinga na wanafahamika sana kutokana na kazi zao nzuri je 

unamshuri nini afanye ili awe maarufu.........