20 Okt 2013

SIMBA NA YANGA LEO


Mashabiki wa yanga wakishagilia baada ya kuwafunga wapinzani wao simba.





mchezaji wa yanga akimtoka beki wa simba na kuongeza bao la pili



beki wa simba akimzuia mshambuliaji wa yanga



mashabiki wa simba wakishangilia baada ya kurudisha bao la tatu baada ya kufungwa na wapinzani wao yango


ni furaha kwa simba bada ya kusawazisha goli la tatu kwa yanga



mshambuliaji wa simba akimtoka beki wa yanga na kufunga goli la kusawazisha baada ya kufungwa tatu bila na yanga


ilikuwa simanzi kwa simba kufungwa magoli matatu bila ya tumaini kama watarudisha hayo magoli


..... lakini mungu si athumani simba walifanikiwa kuludisha magoli yote matatu................