Vipi maneke atanillia?
je wasanii wenzangu wataniimbia?
ama litafutika jina langu na nyimbo zangu hawatasikia?
je wasafi watanililia?
je nduguzangu watahudhulia ama nikifa sina changu?
ata mama angu atanikimbia?...............
Ni baadi ya maneno ya nyimbo yake mpya NIKIFA KESHO