21 Okt 2013

MSANII TAJIRI TANZANIA

ANAMILIKI KAMPUNI, PUB, NA MADUKA MAKUBWA YA NGUO


Inasemekana kuwa AMBWENE YESAYA maarufu kama AY ndiye msanii anaeongoza kwa pesa kuliko wasanii wote hapa TANZANIA. Habari zinasema kua AY anamiliki NYUMBA za kifaharI nchini KENYA  na hapa TANZANIA. 

Amekua mtu wa kujificha sio kujionyesha kwa watu kuwa yeye ni nani na anafanya nini.




AY ni msanii wa kuigwa kwani tangu aanze muziki hajawahi kuwa na skeno za kijingajinga za wanawake.
YA antuzo ya MTV na msanii anaeongoza kwa uvaaji mzuri.




AY hajawahi kuvaa nguo yenye nembo ya kampuni fulani mara nyingi zimeandikwa TANZANIA au AY




AY ni  msanii mwenye connection na wasanii wa kimataifa kama vile PSQUER, DBANJ, JMARTIN, ROMEO NA KINGSTON




NI moja ya gari ya kifahari anayomiliki msanii AY