8 Sep 2013

AINA ZA ANTIVIRUS

            kuna antvirus aina nyingi lakini hizi ni baadhi ya picha chache za ANT VIRUS


 



AVAST       ni moja ya ANT VIRUS NZURI na inatumiwa na watu wengi

 AVIRA    ni moja wapo ya antivirus nzuri pia na inatumika na watu wengi ulimwenguni.


 

KASPERSKY     Pia ni moja ya antivirus nzuri inayotumika na watu wengi pia
AVG    Ni moja ya antivirus inayokamata virus vizuri tu

NI WADUDU HATARI SANA WANAOWEZA KUHARIBU COMPUTER YAKO


WARNING    EPUKA KUTUMIA COMPUTER BILA    ANTIVIRUS



















.