28 Sep 2013
NYIMBO ZA INJILI
Habari ndugu zangu, ukiwa wewe ni mwimbaji wa nyimbo za injili
na unatafuta studio nzuri ya kurekodi nyimbo zako tafadhari
usiangaike kwa hilo njoo tufanye kazi na utaifurahia sana..
bei zetu ni rahisi pia tunajali sana mteja wetu.
sisi tunapatikana dar es salaam maeneo ya mbagala kizuiani
na kwa mawasiliano ya no
0717754748 na
EMAIL YETU NI
goodlucksilvestre@gmail.com
12 Sep 2013
JINSI YA KUPIGA WINDOWS
HATUA ZA KUFUATA
[1] Weka CD yako ya window kwenye computer yako kisha izime computer yako
[2]Washa computer yako hapa unatakiwa kuwa makini kabla haijawaka unatakiwa
kubonyeza f12 maana hapa unailazimisha computer yako isitishe mambo mengine
ishugulikena CD yako ya window. na baada ya hapo window setuo itaanza na screen yako itakuwa ya blue
[3] Bonyeza ENTER ambayo iko kwenye keyboard yako
[4] Bonyeza F8 kukubali Licensing Agreements ya Window XP
[5] Basi utapata ujumbe unaosema REPAIR KAMA HUTAKI UNATAKA KU FORMAT
computer yako bonyeza ESC iliyoko kwenye keyboard yako
[6] Unatakiwa kuweka PARTION au KUFUTA PARTION. BONYEZA D kama unataka kufuta partion fulani au bonyeza C kama unataka kuweka partion mpya
[7] Weka kiasi cha MEGABYTES unayotaka kisha bonyeza ENTER au kamahutaki kufanya
partion yoyote basi bonyeza ENTER moja kwa moja
[8] Chagua ni njia gani unataka ku format hard disck yako au partion yako ila NTFS NI NNZURI INAFORMAT KWA HARAKA ZAIDI
[9] Baaada ya hatua hii kumaliza basi fuata maelezo yatakayo tokea mwishoni ili kuinstall window mpya.
BACHELOR IN IT SECURYTY
8 Sep 2013
AINA ZA ANTIVIRUS
kuna antvirus aina nyingi lakini hizi ni baadhi ya picha chache za ANT VIRUS
AVIRA ni moja wapo ya antivirus nzuri pia na inatumika na watu wengi ulimwenguni.
KASPERSKY Pia ni moja ya antivirus nzuri inayotumika na watu wengi pia
AVG Ni moja ya antivirus inayokamata virus vizuri tu
NI WADUDU HATARI SANA WANAOWEZA KUHARIBU COMPUTER YAKO
WARNING EPUKA KUTUMIA COMPUTER BILA ANTIVIRUS
.
5 Sep 2013
1 Sep 2013
Jisajili kwenye:
Maoni (Atom)





















