8 Des 2013
5 Des 2013
4 Des 2013
2 Des 2013
1 Des 2013
18 Nov 2013
5 Nov 2013
22 Okt 2013
JE NI KWELI ILI UWE MAARUFU NI LAZIMA UWE NA..............
Ni swali nililolisikia kwa vijana wenzangu hapa mtaani kwetu,, je ni kweli ili uwe maarufu ni
lazima uwe na maskendo ya ajabuajabu. lakini ukiangalia asilimia kumbwa ya wasanii wetu maarufu hapa tanzania kiukweli wanatisha kwa maskendo kibao. lakini wapo wasanii maarufu
na hawana maskendo ya kijinga na wanafahamika sana kutokana na kazi zao nzuri je

unamshuri nini afanye ili awe maarufu.........
21 Okt 2013
MSANII TAJIRI TANZANIA
ANAMILIKI KAMPUNI, PUB, NA MADUKA MAKUBWA YA NGUO
Inasemekana kuwa AMBWENE YESAYA maarufu kama AY ndiye msanii anaeongoza kwa pesa kuliko wasanii wote hapa TANZANIA. Habari zinasema kua AY anamiliki NYUMBA za kifaharI nchini KENYA na hapa TANZANIA.
Amekua mtu wa kujificha sio kujionyesha kwa watu kuwa yeye ni nani na anafanya nini.
AY ni msanii wa kuigwa kwani tangu aanze muziki hajawahi kuwa na skeno za kijingajinga za wanawake.
YA antuzo ya MTV na msanii anaeongoza kwa uvaaji mzuri.
AY hajawahi kuvaa nguo yenye nembo ya kampuni fulani mara nyingi zimeandikwa TANZANIA au AY
AY ni msanii mwenye connection na wasanii wa kimataifa kama vile PSQUER, DBANJ, JMARTIN, ROMEO NA KINGSTON
NI moja ya gari ya kifahari anayomiliki msanii AY
20 Okt 2013
SIMBA NA YANGA LEO
Mashabiki wa yanga wakishagilia baada ya kuwafunga wapinzani wao simba.
mchezaji wa yanga akimtoka beki wa simba na kuongeza bao la pili
beki wa simba akimzuia mshambuliaji wa yanga
mashabiki wa simba wakishangilia baada ya kurudisha bao la tatu baada ya kufungwa na wapinzani wao yango
ni furaha kwa simba bada ya kusawazisha goli la tatu kwa yanga
mshambuliaji wa simba akimtoka beki wa yanga na kufunga goli la kusawazisha baada ya kufungwa tatu bila na yanga
ilikuwa simanzi kwa simba kufungwa magoli matatu bila ya tumaini kama watarudisha hayo magoli
..... lakini mungu si athumani simba walifanikiwa kuludisha magoli yote matatu................
18 Okt 2013
16 Okt 2013
14 Okt 2013
12 Okt 2013
3 Okt 2013
VURUGU MBAGALA--SILVESTRE
HIZI NI BAADHI YA MATUKIO YA VURUGU ILIYOTOKEA LEO MBAGALA
WATU WALIAMUA KUFUNGA BARABARA HAKUNA KUPITA
ILIKUWA MKAMATEKAMATE
SHIDA IKAWA KWA HAWA WATOTO. NI MABOMU YA MACHOZI SASA
WAZAZI WALIAFUATA WATOTO WAO MASHULENI
LOH! PLIKUWA HAPATOSHI
CHANZO CHA VURUGU INASEMEKANA KUNA MTOTO ALIKUWA AKIVUKA BARABARA KWA BAHATI MBAYA ALIGONGWA NA GARI NA KUFARIKI DUNIA PAPO HAPO. WANANCHI WENYE HASILA KALI WALICHKIZWA NA KITENDO HICHO NA KUFUNGA BARABARA.

2 Okt 2013
MAPAMBO YA HARUSI-SILVESTRE
NI PICHA ZA MAPAMBO YA HARUSI ZILIZOPAMBWA KWA USTADI
NI BAADHI YA PICHA ZINAZOTUMIKA KTK KUPAMBA HARUSI MBALIMBALI HAPA TANZANIA
Jisajili kwenye:
Maoni (Atom)

.jpg)

.jpg)
.jpg)

.jpg)

.jpg)
.jpg)