16 Okt 2013

WAKAZI WA DAR WALIVYOSHEREHEKEA SIKUKUU YA IDD EL FITRI KATIKA FUKWE ZA COCO BEACH NA MIKADI KIGAMBONI



Ni katika kusherehekea sikukuu ya idd wakiwa wanaogelea



wazazi wakiwaangalia watoto wao wakiogelea katika fukwe za bahari


lakini mvua yataka kuaribu sherehe za idd 




wakazi wakiangilia mawimbi  ya bahari