16 Okt 2013

MAMA AMCHAPA MWANAE HADI KUZIRAI



Mama amchapa mwanae hadi kuzimia ni baada ya mtoto huyo kuondoka nyumbani bila ya kuaga, kwa madai ya mtoto huyo alisema alienda kwa rafiki zake na ilikua matembezi ktk kusherehekea sikukuu ya idd el fitri