16 Okt 2013

MWANAUME ALIEBEBA UJAUZITO AJIFUNGUA


Mwanaume wa nchini marekani aliebeba ujauzito ajifungua mtoto wa kiume, ni ajabu kwa hili lakini ndo hivyo. alibeba ujauzito huo mwaka 2012 mwishoni.